Mshambuliaji wa Timu ya Azam Feisal Salum (Feitoto) akijiandaa kupita beki wa Timu ya KMKM wakati wa mchezo wao wa Kombe la Shirikisho mchezo uliyofanyika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, katika mchezo huo timu ya Azam imeshinda bao 2-0.
LUKUVI AMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUZIDI KUMUAMINI
-
Na. Mwandishi Wetu-DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
Mhe. Willium Lukuvi amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muu...
1 hour ago










No comments:
Post a Comment