Mshambuliaji wa Timu ya Mlandege akimpita beki wa Timu ya Polisi katikac mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar PBZ Priemer League mchezo uliyofanyika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya Polisi imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
KESI YA LISSU YAAHIRISHWA HADI KIKAO KINGINE
-
MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeahirisha kesi ya Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hadi itakapopangiwa kikao
kingine (s...
8 hours ago











No comments:
Post a Comment