.jpeg)
Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akiwasili Karatu kwa ajili ya kuzungumza na wananchi katika
muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM mkoani Arusha.

Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Karatu mkoani Arusha katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM.
Shamra shamra za wananchi wa Karatu mkoani Arusha
walihudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi
(CCM)
Sehemu ya wananchi wa Karatu mkoani Arusha
waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa Chama Cha Mapinduzi
(CCM)

No comments:
Post a Comment