Mhe. Shaaban Khamis Mloo, amefariki dunia, nyumbani kwake, mjini Zanzibar. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo leo saa 10.00 alasiri huko huko Zanzibar.Marehemu Mzee Mloo alikuwa katibu mkuu wa kwanza wa CUF kwa miaka nane, kutoka 1992 hadi 2000 alipochukua nafasi ya umakamo mwenyekiti hadi alistaafu mwaka 2004. Yeye ndiye miongoni mwa waasisi wa Chama hiki
KWA SASA NYAMA CHOMA NI VINGUNGUTI KWA KUMBILAMOTO TU…NJOO TUINJOI MTU WANGU
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
Ni mwendo wa nyamachoma tu! Hivi ndivyo unavyoweza kuelezea yanayoendelea
katika soko la nyama choma la Kumbilamoto lililopo Vi...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment