Habari za Punde

UZINDUZI WA GAZETI LA NIPE HABARI SAMBAMBA NA TUNZO ZA WASANII BORA - ZANZIBAR

USTINI MAKALE AKIMKABIDHI TUNZO YA MWANAMUZIKI BORA WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA JUMA 20 KUSHOTO
RAIS WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA NA WAKULIMA NA WENYE VIWANDA ZANZIBAR ABASS ABDALLAH (KULIA) AKIMKABIDHI KIONGOZI WA KIKUNDI CHA TAARAB YA KISASA CHA SPICE MORDEN TAATAB KWA KUSHINDA ALBAM BORA KWA MWAKA 2008 & 2009

WASANII WA KIKUNDI CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA WAKIPONGEZANA BAADA YA KUPATA TUNZO YA KIKUNDI BORA KWA MWAKA 2008 & 2009


MEYA WA MJI WA ZANZIBAR MAHBOUB JUMA AKIWA AKIKABIDHI TUNZO YA KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA KWA KIKUNDI CHA ROAD SQUAD

MSANII WA KIZAZI KIPYA JUMA 20 AKIWA NA WADAU WAKE WAKISHANGILIA KATIKA SHEREHE ZA UTOAJI WA TUNZO


MAMBO YA UZINDUZI WA GAZETI LA NIPE HABARI LA ZMC LTD WADAU WAKISOMA GAZETI HILO WAKATI WA UZINDUZI HUO

MFANYAKAZI WA ZMC LTD AKIGAWA MAGAZETI KATIKA ONESHO LA UTOAJI WA TUNZO YA WASANII BORA KWA MWAKA 2009 SAMBAMBA NA UZINDUZI WA GAZETI LA NIPE HABARI

WASANII WA CHUO CHA MUZIKI ZANZIBAR DCMA FORODHANI WAKICHEZA NGOMA YA KIASO KATIKA UTOAJI WA TUNZO KWA WASANII BORA KWA MWAKA 2009

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.