Habari za Punde

ZANZIBAR MUSIC AWARDS





MENEJA MASOKO NA MAUZO WA KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI YA VODACOM TANZANIA UNGUJA NA PEMBA MINJA AKIMKABIDHI TUNZO MSANII WA WIMBO BORA WA MWAKA BAADEI OMAR

MWASITI NA CHID BENZ WAKICHANGAMSHA

HONGERA KWA USHINDI WA TUNZO YA ZANZIBAR MUSIC AWARDS

WADAU WANGU NIMEIBUKA TENA MSANII BORA HONGERENA KWA KURA ZENU WADAU WANGU WOTE CHAOOO....NDIVYO INAVYOONEKANA AKITETA ROHONI BIBIE FAUZIA ABDALLAH

MENEJA MASOKO NA MAUZO VODACOM TAWI LA ZANZIBAR SULEIMAN BAKARI MILANZI AKIMKABIDHI TUNZO YA ZANZIBAR MUSIC AWARDS KWA MSANII BORA WA KIKE TAARAB ASILIA FAUZIA ABDALLAH


NA MSEWE NAO ULIKUWEPO...

MAMBO YA NGOMA ZA ASILI NDIVYO KAMA HIVI MDAU

WASANI WA KIKUNDI CHA MARLAW WAKITUA BURUDANI KATIKA UTOAJI WA TUNZO ZA ZANZIBAR MUSIC AWARDS KATIKA UKUMBI WA SALAMA BWAWANI HOTELI

MWASITI NA CHIDY BENZ NDANI YA NYUMBA ZANZIBAR MUSIC AWARDS

MKURUGENZI WA ZENJ FM SEIF MOHAMMED SEIF AKIMKABIDHI TUNZO YA KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA TARAAB YA KISASA MKURUGENZI WA SPICE MORDEN TAARAB EDI ISSA KUSHOTO

MDAU MWAKA HUU NA MIMI NIMO KATIKA TUNZO SAIDE MOHAMMED


SAIDE MOHAMMED AKIPOKEA TUNZO YAKE YA WIMBO BORA WA TAARAB YA KISASA KUTOKA KWA AFISA TAWALA WA MKOA WA CHAKECHAKE PEMBA HANUNA IBRAHIM KULIA


MAARUFU BIDUUNI TAARIYF KWA WANAOJUA KIARABU


MDAU BWANCHUCHU NDANI YA NYUMBA AKITOWA TUNZO KWA MWANAMUZIKI BORA WA KIKE TAARAB YA KISASA RUKIA RAMADHANI

WADAU WANGU NIMEIKWAA TUNZO YA ZANZIBAR MUSIC AWARDS NIKIPOZI
NDIVYO ANAVYOSEMA IBRAHIM WA KIKUNDI CHA JKU


MSANII BORA WA MUZIKI WA KISASA IBRAHIM WA KIKUNDI CHA TAARAB CHA JKU AKIPOKEA TUNZO YAKE YA ZANZIBAR MUSIC AWARDS

MAMBO YA TUNZO KWA JUMA 20 AKIFURAHIA

MKURUGENZI WA KAMPUNI YA MAJI YA KOOL TOFIK SALIM TURKY AKIMKABIDHI MSANII BERRY BLACK KULIA TUNZO YA WIMBO BORA WA MWAKA KWA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.