Habari za Punde

MATUKIO YA BAJETI YA ZANZIBAR KATIKA PICHA

MABALOZI WADOGO WALIOPO ZANZIBAR WAKIFUATILIA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI KWA MWAKA WA FEDHA 2009 -- 2010.
WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI WA CHAMA CHA MAPINDUZI ( CCM ) WAKIFUATILIA HOTUBA YA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 2009--- 2010
WAANDISHI WA HABARI WA STZ NA TVZ WAKIFUATILIA HUTUBA YA BAJETI


SPIKA WA BARAZA LA WAWAKILISHI PANDU AMEIR KIFICHO AKISALIMIANA NA MWENYEKITI WA CUF DK. IBRAHIM LIPUMBA BAADA YA KUMALIZIKA KUSOMWA KWA HUTUBA YA BAJETI YA SERIKALI
WAZIRI WA NCHI AFISI YA RAIS IKULU ANAYESHUGHULIKIA FEDHA DK. MWINYIHAJI MAKAME (KUSHOTO) AKIBADILISHANA MAWAZO NA MWAKILISHI WA HAJI FAKI SHAALI WA CUF (KULIA) NA KATIKATI KATIKBU MKUU WA WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII DK. JIDAWI
WAZIRI KIONGOZI WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR AKIBADILISHANA MAWAZO NA BALOZI MDOGO WA OMAN ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.