Habari za Punde

HAYA WADAU MNAWEZA KUTUFAHAMISHA NI MAENEO GANI HAYA?


4 comments:

  1. hapa kariakoo ndani

    ReplyDelete
  2. duh! kama hapa ni kariakoo ndani kwa kweli hali si shwari kiwanjani hapo........pameoza

    ReplyDelete
  3. Hapo ndo afadhali yao basi! walau panahubiriwa injili mtindo mmoja(sijuwi siku hizi mana nasikia kiwanja "kapewa mtu")pembeni hilo banda unaloliona kama sikosei ni jumba la kupiga tarabu nafikiri klabu ya zanzibar mordern kama bado ipo/ndiyo. Siku za karibuni hivi mpaka naondoka zanzibar baadhi ya maeneo ya uwanja huo yamegeuzwa maficho ya walaunga(mateja)na makahaba wanatoa huduma zao maeneo ya majanini kule mchana kweupe. nje pamegeuzwa eneo la biashara (achilia kule nyuma kwenye kituo cha daladala za Mpendae na Chukwani ambapo makahaba hukitumia kama eneo la kusubiri "gari"zao wanazozijuwa wao) nazungumza mlango wa kuingilia usiku panachezwa kamari kama kaumu luti vile.
    Kwa kweli si kariakoo ile yetu unakwenda unajisiikia hasa kama upo kiwanja cha kufurahishia watoto. Zile pembea tukipanga foleni hapa na kwa hajitumbo zimechakaa zimekuwa mbaya ni hatari tupu kwa watoto na tetenasi.
    Ah, wapi Zanzibar, Margeyya...nehi....nehi...nehi!!!!

    ReplyDelete
  4. Najaribu kuweka sawa baadhi ya point za anonymous.

    Kiwanja sasa kipo chini ya ZSSF Zanzibar Social Security Fund ambao wana mchakato wa kukikarabati na kukijenga upywa kiwe cha kisasa.

    Baadhi ya kero nyingi ulizozielezea tayari zmeshughuklikiwa kwani sasa kuna ulinzi wa kutosha kutoruhusu mambo mengi ambayo yaljitokeza

    Lini ukarabati utaanza hilo sijui

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.