Kilichonifurahisha katika picha hizi ni kuona jinsi gani akinamama wameweza kufikiria kupumzisha akili kwa kujishughulisha na michezo ambayo huhitaji kutumia mbinu na maarifa kuliko kukaa na kupiga soga au muda mwingi kutazama T.V.
BASATA YAZINDUA RASMI TUZO ZA TMA
-
BARAZA La Sanaa (BASATA) lafungua rasmi dirisha la Kupendekeza Kazi za
Wasanii katika tuzo za Muziki nchini TMA zinazotarajiwa kufanyika Disemba
mwaka huu....
3 hours ago

Mapara,
ReplyDeleteUwe unatwambia picha hizi zimepigwa eneo gani wakati gani na ikibidi hata majina ya wanaopigwa picha for authenticity reasons, otherwise hizi picha na ujumbe nimezipenda sana.
mdau Misri.