Habari za Punde

THE ONE AND ONLY

The Africa House Hotel iliyopo mitaa ya Shangani jirani na skuli ya Tumekuja eneo maarufu ambalo hujulikana kama ATC.
Ni kivutio kikubwa kwa Watalii wanaotembelea Zenj na hufika sana hapa hasa wakati wa jioni wakilisubiri jua likitua ili wapate kumbukumbu ya picha nzuri ya jinsi jua linavyotua visiwani.

1 comment:

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.