Habari za Punde

UNAHITAJI SPEA ZA MAGARI YA UINGEREZA?

Magari haya ya Kiingereza yamekuwa mengi sana nchini Tanzania na spea zake zinakuwa taabu sana kupatikana. Watu wenye magari ya aina hii wanahangaika sana. Nadhani kwa sasa mtakuwa mmempata mfumbuzi wenu kuondokana na tatizo hili
Agizia spea ya gari yako kutoka UK kwa bei nafuu sana

Tunatoa huduma za spea zifuatazo LDV convoy, Marcedes, Iveco, Ford transit engines. Pia gear boxes, axles, racks na kadhalika.

Wasiliana nasi
Chiwanda Auto Spare Specialist
Mob no: +255 714 087788
Chiwanda street
Tandika Dar es salaam
Tanzania au
+44 7771 497670
email: magirin2k@hotmail.com
Birmingham
England
UK


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.