Habari za Punde

UOKOAJI WA MWILI WA KIJANA ALIYEFUNIKWA NA KIFUSI KIPONDA

Waokoaji wakiwa katika harakati za kuondoa kifusi ili kuuondoa mwili wa kijana aliyeangukiwa na kifusi akiwa katika harakati za kutoa boriti ili kwenda kuuza.
Askari wa vikosi vya uokoaji vya Zima Moto na JWTZ wakishirikiana kuondoa kifusi ili kuuondoa mwili wa kijana aliefunikwa. Nyumba hii inasemekana ilianza kubomoka miezi miwli iliyopita .

Wananchi pamoja na watoto wakifuatilia kwa karibu. Awali nyumba hii ilipobomoka takriban miezi miwili iliyopita haikuleta madhara yoyote.

2 comments:

  1. Salam mkuu, pole kwa kazi. maoni ni kua ubadilishe rangi ya text hizo nyekundu zinaumiza macho kwa sababu hazionekani vizuri.
    kazi njema

    ReplyDelete
  2. Sawa mkuu

    Tumekusikia na tutafanya marekebisho

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.