Habari za Punde

MAREKEBISHO

Assalaamu Alaykum
Kuna mdau ametuomba tufanye marekebisho ya rangi za maelezo ya picha kutoka rangi nyekundu kwa sababbu inaumiza macho.
Tumezingatia maoni yake na tunabadilisha kwenda nyeupe ambayo tunaamini itakuwa rahisi kusomeka.
Shukran mdau kwa kutuzindua. Maoni yenu wadau ni muhimu kwani ndiyo yanayotupa msukumo kuendeleza jitihada hizi hivyo kama una maoni yoyote kuhusiana na blog katika kuiboresha tutumie ima kwa barua pepe othmanmaulid@gmail.com au tuwekee kwenye comment na tutayafanyia kazi.
Shukran

1 comment:

  1. Nashkuru sasa hapa mambo safi tunaweza kusoma bila ya kukunja uso, si mda mrefu nimepata kuona blog yko, naomba utuwekee habari nyngi za zenji kwani tulioko nje tunafarijika na blog lako.
    Kazi njema

    Mdau Osmania

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.