Habari za Punde

KINYAN'GANYIRO CHA KUWANIA URAIS WA ZANZIBAR KIKIENDELEA KWA MGOMBEA WA CHADEMA KUJITOKEZA KUWA MTU WA PILI KUCHUKUA FOMU TUME.

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Khatib Mwinyichande kushoto akimkabidhi Fomu ya Urais mgombea wa Chama cha Chadema Haji Ambar Khamis, alipofika Afisi za tume Maisara kuchukuwa fomu ili kugombea nafasi hiyo kwa Chama chake.
Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Salum Kassim Ali, akitowa maelezo ya fomu ya urais katika ukumbi wa tume Maisara.

MGOMBEA Urais kupitia Chama cha Chadema Haji Ambar Khamis, akitowa shukrani kwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Khatib Mwinyichande baada ya kukabidhiwa fomu ya urais.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.