Habari za Punde

MGOMBEA URAIS WA CHAMA CHA TADEA ARUDISHA FOMU TUME

Wapambe wa mgombea wakiingia katika Afisi za Tume wakimshindikiza mgombea wao.
Wapambe wa mgombea wakishuhudia mgombea wao akirejesha fomu za kuwania urais wa Zanzibar Afisi za Tume Maisara.
MGOMBEA Urais wa Chama cha TADEA, Juma Ali Khatib akimkabidhi fomu zake za kuwania Urais wa Zanzibar Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Khatib Mwinyichande.

MGOMBEA Urais wa Chama cha TEDEA Juma Ali Khatib akionesha fomu zake baada ya kukamilisha kupata wadhamini akishuhudiwa na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Khatib Mwinyichande
Mgombea Urais wa Chama cha TADEA, Juma Ali Khatib akizugumza na waandishi wa habari baada ya kurudisha fomu za urais Afisi za Tume ya Uchaguzi Maisara.

1 comment:

  1. Najaribu kuangalia vyombo vya habari vilivyopo ila naona Microphone ya TBC tu. Hivi TVZ wapo au tukio hili sio muhimu?

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.