
MGOMBEA Urais wa Chama cha NRA, Haji Khamis Haji akionesha fomu zake baada ya kukabidhiwa Afisi ya Tume Maisara.

MGOMBEA Urais wa NRA akitia saini kitabu cha kuchukulia fomu za urais akishuhudiwa na Mkurugenzi wa Tume.

MKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Salum Kassim Ali akimkabidhi fomu ya kugombea urais wa Zanzibar, Mgombea wa NRA Haji Khamis Haji

MKURUGENZI wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar Salum Kassim Ali akitowa maelezo ya baadhi ya fomu ya urais kwa mgombea wa NRA

Mgombea Urais kupitia Chama cha NRA Haji Khamis Haji akimsikiliza Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi akitowa maelekezo ya fomu ya Urais kabla ya kukabidhiwa.
No comments:
Post a Comment