
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Zayedesa iliyojenga jengo hilo la watoto yatima akitowa hutuba yake kuhusiana na ujenzi huo katika sherehe za uzinduzi wake uliofanya na Rais wa Zanzibar dk. Amani Abeid Karume.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Zanzibar Sultani Mughery akitowa maelezo kuhusiana na nyumba ya watoto.

Watoto wa nyumba ya Yatima Forodhani wakiwa na zawadi yao wakienda kumkabidhi mlezi wao Mama Shadya Karume.

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Zanzibar Sultan Mughery akitowa maelezo kuhusiana na nyumba ya watoto.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akitowa nasaha zake wakati wa ufunguzi wa nyumba mpya ya watoto yatima ilioko Mazizini Unguja.

Watoto wakiitikia duwa baada ya uzinduzi wa nyumba yao mpya ilioko Mazizini.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Karume akiwa katika picha ya pamoja na Wafadhili na Watoto wa Nyumba hiyo baada ya kufunguliwa Leo, iliyojengwa na Jumuiya ya ZAYEDESA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akiwa na Mke Mama Shadya Karume ambaye ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZAYEDESA iliojenga jengo hilo la Watoto Mayatima Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kulizinduwa jengo hilo leo.
No comments:
Post a Comment