Habari za Punde

BALOZI WA MAREKANI ALIPOTEMBELEA MJENGONI

MWENYEKITI wa Baraza la Wawakilishi Kamati ya Watu sita ya Baraza hilo ya kusimamia Kura ya Maoni, Ali Mzee Ali kushoto akitowa maelezo kuhusiana na kura hiyo kwa Balozi wa Marekani nchini Alfonso wa pili kushoto baada ya kutembelea jengo hilo jipya baraza la wawakilishi la Zanzibar Mbweni.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.