Kwa Habari, Picha na Matukio Tembelea ZanziNews
Tangaza nasi kwa bei nafuu (advertise with us ). Tupigie 0777 424152 au tuandikie (email) othmanmaulid@gmail.com
Hii ni picha ya serikali ya awamu ya tatu ya Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyopigwa mwaka 1984 baada uzushi uliitwa "mchafuko wa hali ya hewa ya kisiasa zanzibar" na hatua ya Nyerere kumfukuza madarakani rais mtangulizi Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi, kama kamteuwa yeye vile. Pichani sura za watu 11 mstari wa mbeli kutoka kushoto ni Marehemu Said Idd Bavuai,Khamis Hemed,Idd Pandu,Salim Ahmed Salim,Mzee Mwinyi,maalim Seif sharrif,Jaji Augustino Ramadhan, Mar. Idriss Abdul wakil...sura za mstari wa nyuma unaofuata wanaonekana vizuri ni Taymour Saleh, Bi. Rufeya, Bi. Msim...kulia Salmini Amour... nyuma kabisa ninao wafahamu ni bi Asha Bakar. Wengine hawaonekani vizuri ila najuwa somewhere yupo Seif Bakar,Mwakanjuki, Maulid Makame, Ramadhan Abdallah, Said Natepe...Hassan Moyo...n.k(msaada zaidi kama nimekosea)
hawa ni watapia mlo wenywe kujali matumbo yao na watoto wao wakituwacha wakulima na wavuvi tukiteseka kwahali ngumu ya maisha wakiumwa wanakimpizwa ulaya sisi na watoto wetu tukifiana mnazi mmoja kwenye hiyo picha kuna walowezi vitimba kiri wasaliti mamluki watanganyika wazanzibara nawaona wamo majangiri wezi wakewawatu wahalifu wahuni
Nadhani baada ya Said Idd Bavuai ni Profesa Ishau Abdulla Khamis na nyuma ya Taimur Saleh ni Edington Kissassi, pia namuona Joseph Sinde Warioba aliesimama nyuma mrefu kuliko wote.
Taharuki Hoteli ya Lark, Wafanyakazi Wafungiwa nje
-
Na Mwandishi Wetu
WAFANYAKAZI 20 wa hoteli ya Lark iliyopo ndani ya jengo la Noble Centre Dar
es Salaam, linalomolokiwa na CRJE wamezuiwa kuingia ndani ya...
Hii ni picha ya serikali ya awamu ya tatu ya Mzee Ali Hassan Mwinyi iliyopigwa mwaka 1984 baada uzushi uliitwa "mchafuko wa hali ya hewa ya kisiasa zanzibar" na hatua ya Nyerere kumfukuza madarakani rais mtangulizi Alhaj Aboud Jumbe Mwinyi, kama kamteuwa yeye vile. Pichani sura za watu 11 mstari wa mbeli kutoka kushoto ni Marehemu Said Idd Bavuai,Khamis Hemed,Idd Pandu,Salim Ahmed Salim,Mzee Mwinyi,maalim Seif sharrif,Jaji Augustino Ramadhan, Mar. Idriss Abdul wakil...sura za mstari wa nyuma unaofuata wanaonekana vizuri ni Taymour Saleh, Bi. Rufeya, Bi. Msim...kulia Salmini Amour... nyuma kabisa ninao wafahamu ni bi Asha Bakar. Wengine hawaonekani vizuri ila najuwa somewhere yupo Seif Bakar,Mwakanjuki, Maulid Makame, Ramadhan Abdallah, Said Natepe...Hassan Moyo...n.k(msaada zaidi kama nimekosea)
ReplyDeletehawa ni watapia mlo wenywe kujali matumbo yao na watoto wao wakituwacha wakulima na wavuvi tukiteseka kwahali ngumu ya maisha wakiumwa wanakimpizwa ulaya sisi na watoto wetu tukifiana mnazi mmoja kwenye hiyo picha kuna walowezi vitimba kiri wasaliti mamluki watanganyika wazanzibara nawaona wamo majangiri wezi wakewawatu wahalifu wahuni
ReplyDeleteNadhani baada ya Said Idd Bavuai ni Profesa Ishau Abdulla Khamis na nyuma ya Taimur Saleh ni Edington Kissassi, pia namuona Joseph Sinde Warioba aliesimama nyuma mrefu kuliko wote.
ReplyDelete