Habari za Punde

AKINAMAMA WALIKUWEPO KATIKA FUTARI ILIYOANDALIWA NA RAIS KARUME

Baadhi ya Kina mama wakifutari
Mke wa Rais wa Zanzibar na ,Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Kaskazini Pemba katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar kwa wananchi wa mkoa huo iliyofanyika Ikulu ya Chakechake. Kushoto Waziri wa Afisi ya Rais Kazi Maalum Zainab, kulia Waziri waKazi Vijana Maendeleo ya Wanawake na Watoto Asha Abdalla Juma naNaibu Waziri waMawasiliano na Uchukuzi Tanzania Maua Daftari.MKE waRais w Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Shadya Karume akisalimiana na wananchi wa Mkoa wa Kaskazini baada ya kujumuika katika futari ilioandaliwa na Rais wa Zanzibar kwa ajili ya Wananchi wa Mkoa huo.


Naibu Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi Tanzania, Maua Daftari, akitoa shukrani kwa niaba ya Wanawake wa Mkoa wa Kaskazini baada ya kujumuika katika futari hiyo ilioandaliwa na Rais wa Zanzbar Ikulu ya Chake Chake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.