Habari za Punde

UZINDUZI WA KAMUSI LA KISWAHILI FASAHA - ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid karume akionesha kamusi la Kiswahili Fasaha baada ya kulizinduwa rasmin kutumika Zanzibar kurahisisha maneno magumu ya Kiswahili, lililochapishwa na Baraza la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume akizinduwa Kamusi la Kiswahili Fasaha, lililoandikwa na Wazanzibari.

WANANCHI wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akizinduwa Kamusi la Kiswahili Fasaha.
BAADHI ya waalikwa katika sherehe za uzinduzi wa Kamusi la Kiswahili Fasaha wakishuhudia uzinduzi wa Kamusi hili uliofanyika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.