Habari za Punde

MDAU KHAMIS HAMADI HAJI AKWAA NONDO YA UZAMILI MISRI

Mdau Khamis Hamadi Haji amefanikiwa kumaliza masomo yake ya shahada ya Uzamili katika fani ya International Transport and Logistics katika Chuo cha Arab Academy for Science, Technology and Maritime Transport kilichopo Alexandria nchini Misri. Picha hizi ni za matukio ya mahafali iliyofanyika tarehe 19/10/2010 katika Hoteli ya Four Seasons iliyopo Alexandria.

Mdau Khamis akiwa nje ya hoteli ya Four Seasons huko Alexandria - Misri
Mdau Khamis (kushoto) makiwa na wahitimu wenzake Julius kutoka Uganda (katikati) na Cosmas kutoka Zambia (kulia)

Khamis akiwa na Julius

Mdau Khamis (kushoto) Mohammed Golicha (Kenya) Kareem( Misri) Cosmas (Zambia) na Ameria (Uganda)

Picha za pamoja
Tunakupa hongera Mdau kwa kuweza kumaliza masomo salama na karibu nyumbani uje kuendeleza ujenzi wa taifa letu ambalo linahitaji wasomi kama nyinyi kuweza kuliendeleza.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.