Habari za Punde

KARUME AZINDUA UTANUZI WA BARABARA YA MFENESINI- BUMBWINI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akiweka jiwe la msingi la utanuzi wa Barabara ya Bumbwini Mfenesini inayojengwa kwa kiwango cha Lami na Kampuni ya Ujenzi ya MECCO.
MWENYEKITI wa bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya ujenzi ya MECCO Obakia Kwabi akisoma risala ya kampuni yake katika sherehe za uzinduzi wa jiwe la msingi la utanuzi wa barabara ya Bumbwini.

MKANDARASI wa Kampuni ya MECCO ameshindwa kujizuiya kiti kutokana na utenzi wa msaani Kassim Yussuf alipokuwa akihani utenzi wake katika sherehe za kuweka jiwe la msingi barabara ya Bumbwini.
WANANCHI wa Kjiji cha Bumbwini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akitowa nasaha zake baada ya kuwawekea jiwe la msingi la utanuzi wa barabara.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Amani Abeid Karume akizugumza na Wananchi wa Kjiji cha Bumbwini mwishi wa njia baada ya kuweka jiwe la msingi la Ujenzi wa barabara hiyo.
WANANCHI wa Kijiji cha Bumbwini wakishuhudia uwekaji wa Jiwe la Msingi la barabara yao likiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk. Amani Abeid Karume , mwisho wa njia jina la maarufu.
BARABARA Mpya ya Mfenesini Bumbwini ikiwa katika ujenzi wa kiwango cha lami ikiendelea na ujenzi wake tayari imeshawekewa kifusi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.