Habari za Punde

ZOEZI LA KUHESABU KURA KATIKA VITUO

WAHESABU kura wa kituo cha Skuli ya Ben Bella waendelea na zoezi hilo kituoni hapo.
WAHESABU Kura wa Kituo cha Skuli ya Tumekuja wakiendelea na zoezi la kuhesabu kura kituoni hapo.

WAANGALIZI wa Kimataifa wa Uchaguzi Mkuu wa Zanzibar wakishuhudia zoezi la kuhesabu kura katika kituo cha Skuli ya Tumekuja likiendelea.
AFISA wa Tume yac Uchaguzi wa Kituo cha Kupigia kura cha Skuli ya Tumekuja akikata sildi kuanza kuhesabu kura kituoni hapo.

AFISA Tume ya Uchaguzi wa Kituo cha Kupigia Kura cha Malindi akiwaonesha Mawakala kura katika zoezi la kuhesabu likiendelea.
HIVI ndivyo ilivyokuwa katika kituo cha kupigia kura cha Malindi Bwawani Hoteli.

HUYU Mwananchi amejuwa nini kafanya katika kupiga kura au elimu yake ndogo?

MAAFISA wa Kituo cha kupigia kura cha Malindi wakihesabu kura za kituo chao.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.