Mshambuliaji wa Timu ya Junguni na beki wa timu ya Uhamiaji wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya PBZ mchezo uliyofanyika leo 20-10-2025 Uwanja wa Mao Zdung.Timu ya Uhamiaji imeshinda mchezo huo kwa bao 4-0.
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, ikisisitiza kuwa Tanzania inatambua thamani
kubwa ya ra...
8 hours ago









0 Comments