Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Ikwiriri katika muendelezo wa Kampeni
za Uchaguzi kwa CCM, Rufiji mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.
Shamra shamra wakati Mgombea wa nafasi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
(CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa mkutano
wa Kampeni za Uchaguzi za CCM, Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba,
2025.
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni wa Mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika Ikwiriri, Rufiji mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba, 2025.
No comments:
Post a Comment