Habari za Punde

ALIVYOPOKELEWA DK SHEIN WAKATI WA KULIZINDUA BARAZA

 Akipokea kwa heshima Gwaride la vikosi vya ulinzi
 Akikagua gwaride lililoandaliwa kwa niaba yake
 Akisalimiana na Makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad
Akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais Idd Seif ( Hawa ndio vigogo waliopewa dhamana ya kuliongoza taifa)

 Akisalimiana na Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho
Akisalimiana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Hamid Mahmoud

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.