Habari za Punde

MFUGAJI WA KIJIJI CHA MAUNGANI AKICHUNGA NGOMBE KUPELEKA MACHINGIONI.

MFUGAJI wa Kijiji cha Maungani akichunga Ngombe wake akiwapeleka  Mnadani kwa ajili ya kuwauza  kwa ajili ya kuchinja kwa SIKUKUU akiwa katika kijiji cha kisauni Unguja, Ngombe mmoja anauza shillingi jaki saba.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.