Spika wa Baraza la Wawakilishi Mheshimiwa Pandu Ameir Kificho akiwajibika
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi wakifuatilia kikao cha asubuhi.
WAJUMBE wa Baraza wa Chama cha CUF wakiwa katika kikao cha asubuhi kikiendelea.
MAKAMO wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitowa hoja ya kuahirishwa kikao cha baraza hadi Januari 19, 2011.
SPIKA wa Baraza la Wawakilishi akitoka kiatika Ukuimbi wa Baraza baada ya kulihairisha mpaka Januari 19, 2011
Kwakweli kama kuna fisadi Nambari moja kwa Zanzibar basi huyu Mussa Aboud Jumbe.
ReplyDeleteKwa kweli amevurunda sana snamaana Idara ya Uvuvi amefanya kama yake binafsi maana kuna Mradi wa MACEMP amekuwa akichukua Wanawake zakena kuwapeleka kusoma japo kuwa hawana elimu ya Uvuvi na pia waajiriwa wa Idara ya Uvuvi. Pia, aliwapeleka wanawake zake hchuo cha Uvuvi Bara kwenda kusoma wakafeli masomo yote na kurudishwa nyumbani wakati kuna Maafisa waliosomea uvuvi hawakupelekwa.
Pia pesa za Mradi wa MACEMP zimetumika kuwapeleka Wanafuzi kusoma China na India lakini baadhi ya Wanafunzi wamerudi kutokana na maisha kuwa magumu kwani fedha zinatafunwa na wao wakisota.
Pia amejitia kwenye umbele mbele wa CCM kwani ameshajua nafasi ya kurudi tena Ukurugenzi ni ndogo kutokana na madudu yake aliyoyafanya ndio ametumia pesa nyingi pamoja na rasilimali za Serikali kama boti za doria za uvuvi, mafuta na magari ili kumpeleka Dr. Shein kwenye kampeni na yeye kujishirikisha ili aonekane labda atachaguliwa tena.
Kwa kweli ni fisadi nambari moja kwa Zanzibar
Mkuu naona post umeiweka si mahala pake. Naamini ulikusudia kwenye Post inayohabarisha kuhusu kusimikwa ukamanda kwa Mussa Jumbe
ReplyDelete