Habari za Punde

VITANDA VYA KAMBA NI KIVUTIO KWA WATALII WANAOTEMBELEA FUKWE ZA ZANZIBAR.

FUNDI wa kusuka Vitanda vya Kamba akitanda moja ya Kitanda cha kamba cha aina ya kutumiwa na watalii katika Fukwe za Hoteli ya Kitalii kupumzikia wakati wa kuota jua kitanda kimoja cha aina hii huuzwa kwa Shillingi 25,000/= akiwa maeneo ya kiwanda chake Amani.   
VITANDA vya Kamba ni moja ya vitanda asili katika Visiwa vya Zanzibar na kutumiwa na Wananchi katika kipindi cha miaka ya sitini na bei yake ilikuwa ni rahisi tafauti na sasa vitanda hivi hutumiwa katika mahoteli ya kitalii katika fukwe za Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.