Habari za Punde

MATAYARISHO YA KIKAO CHA BARAZA YAKAMILIKA NA KUAZA KESHO KWA KUWAAPISHA WAJUMBE.

KATIBU wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ibrahim Mzee akitowa maelezoi kwa Waandishi wa Habari kiwa kuaza kikao cha Baraza baafa ya kupigiwa kura Wagombea Nafasui ya Uspika kati ya aliyekuwa Spika wa zamani Pandu Ameir Kificho wa CCM na Abass Muhuzi wa CUF, na kufuyatia kuapishwa kwa Wajumbe wa Baraza baada ya kupatikana Spika.
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar wakimsikiliza Katibu wa Baraza la Wawakilishi Ibrahim Mzee akitowa maelezo ya kuaza kwa Baraza kesho kwa kumchagaua Spika wa Baraza.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.