Habari za Punde

ASKARI wa Usalama barabarani wakiwa na kamera maalum ya kujuwa mwenendo wa kasi ya magari yakiwa barabarani ili kudhibiti ajali kwa kwenda kwa kasi kwa baadhi ya maderevya wakiwa katika kituo cha daladala michezani.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.