Baadhi ya Maofisa wa idara za ofisi ya makamo wa kwanza wa Rais,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Maapinduzi,Dk Ali Mohammed Shein, alipokuwa akizungumza nao jana 
Viongozi wa Idara mbali mbali za Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais wakiwa katika mkutano wao na Mhe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein na kuona jinsi walivyojipanga katika utendaji wao, yakiwemo pia matatizo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais, katika ukumbi wa mikutano Ikulu, katika mikakati yake Mhe. Rais, kuzungumza na kila Wizara na Tasisi za Serikali, katika kuleta maendeleo ya nchi.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment