Habari za Punde

MAJAJI WAAPISHWA NA RAIS

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Abdulhamid Ameir , kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Fatma Hamid Mahamoud, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman

2 comments:

  1. Mzee Mapara,

    Picha ya juu sio Mkusa. Huyo ni Abdulhamid Ameir Issa. Nadhani picha ya chini ndio Mkusa.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.