Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Abdulhamid Ameir , kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akimuapisha Fatma Hamid Mahamoud, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar, wakati wa hafla hiyo iliyofanyika Ikulu ya Zanzibar leo
Picha na Ramadhan Othman
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi
Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Amekabidhiwa Fomu na Tume ya Uchaguzi INEC
-
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya
Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa
kuwa Mg...
1 hour ago
Mzee Mapara,
ReplyDeletePicha ya juu sio Mkusa. Huyo ni Abdulhamid Ameir Issa. Nadhani picha ya chini ndio Mkusa.
Ahsante Mdau tutarekebisha
ReplyDelete