Habari za Punde

DK SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WIZARA KILIMO NA MALIASILI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein akiendesha kikao cha Wizara za Kilimo na Mali asili ikiwa ni mwendelezo wa mikutano ya kukutana na mawizara yote ya serikali. Kushoto kwa Rais ni Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad akifuatiwa na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Iddi. Kulia kwa rais ni katibu Mkuu baraza la Mapinduzi Dk Abdul Hamid Yahya Mzee na Waziri Mansor Yussuf Himid.

Picha na Ramadhan Othman

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.