Rais wa Zanzibar na Mweyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya nchi Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma na utawala Bora, Ikulu Mjini Zanzibar,akiwa katika utaratibu wake wa kuzungumza na kila wizara.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.
TUZO YA TAIFA YA MWALIMU NYERERE YA UANDISHI BUNIFU YAZINDULIWA RASMI KWA
MWAKA 2025/2026
-
Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imezindua rasmi
duru la nne la Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu kwa
mwaka 2025/2...
27 minutes ago
No comments:
Post a Comment