KATIBU wa Ofisi ya Mufti Zanzibar Shekh Fadhil Soraga akitowa hadithi ya Mwaka wa Kiislam kwa Waumuni wa Dini ya Kiislamu waliohudhuria sherehe za kuukaribisha mwaka wa Kiislam zilizofanyika kiwanja cha Kisonge, Michezani.
BAADHI ya Waislamu waliohudhuria sherehe za maadhimisho ya Mwaka wa Kiislam wakisikiliza mawaidha.
WANAFUNZI wa Madrasat mbalimbali waliohudhuria sherehe za kuadhimisha mwaka wa Kiislam leo duniani katika viwanja vya Kisonge Michezani
No comments:
Post a Comment