Habari za Punde

MKUTANO WA VIONGOZI WA CCM WILAYA YA MAGHARIBI WALIPOTEMBELEWA NA DK SHEIN KUWASHUKURU

 Baadhi ya Viongozi wa CCM wilaya ya Magharibi wakimsikiliza DK Shein katika ziara yake ya kuwashukuru
 Dk Shein akisalimia moja katika burudani zilizoandaliwa wakati akiwasili
 Dk Shein akisajili kitabu cha wageni huku akishuhudiwa na mkewe Mama Mwanamema Shein.
 Viongozi waandamizi wa CCM pia walkuwepo, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Saleh Ramadhan Feruzi na Bi Fatma Abdullah Juma
 Dk Shein akiteta jambo na Naibu katibu mkuu wa CCM Saleh Ramadhan Feruzi.
 Mama Mwanamwema Shein akiwasalimia WanaCCM wa wilaya ya magharibi
Baadhi ya viongozi wa Wilaya ya magharibi wakimsikiliza kwa makini DK Shein wakati akiwashukuru.

Picha zote na Ramadhan Othman.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.