Habari za Punde

MUHAADHARA WA DR ABU AMEENAH BILAL PHILIPS IJUMAA, 10.30 JIONI

Umoja wa Kiislamu, Uchumi, Elimu na Maendeleo (UKUEM) unachukua fursa hii rasmi ya kutoa mwaliko wa Public Lecture itakayofanyika katika chuo kikuu cha SUZA hapo Vuga karibu na Sinema ya Majestic siku ya Ijumaa ya tarehe 24 Dec 2010 saa 10:30 jioni Nyote mnakaribishwa kuja kumsikiliza Dr Bilal Philips.
 Usikose nafasi hii adhimu mara moja katika uhai wako. Maudhui kama inavyosomeka hapo chini. Shime tuhudhurie kwa wingi.

Maudhui ya Muhaadhara Muslim World versus the West.

Muhaadhara utakuwa kwa lugha ya kiingereza
Wabillaahi Attawfiyq

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.