Habari za Punde

DK SHEIN AWASHUKURU VIONGOZI WA MASKANI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,akizungumza na wenyeviti na makatibu wa Maskani za CCM Mkoa wa Mjini na Magharibi,alipowashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya uchaguzi wa salama katika Mkoa huo, mazungumzo hayo yalifanyika jana katika ukumbi wa CCM Mkoa,Amani.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mjini Magharibi, huko Afisi ya CCM Mkoa Amani

 Baadhi ya akinamama waliohudhuria katika hafla hii iliyofanyika Ofisi ya CCM Mkoa, Amani
Wenyeviti wa matawi mbali mbali ya Chama cha Mapinduzi ya Mkoa wa Mjini Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,a Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  DK Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na wenyeviti na makatibu wa maskani za chama hicho jana,katika ukumbi wa CCM Mkoa,Amani

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.