Habari za Punde

SIKU YA HALI YA HEWA DUNIANI HUADHIMISHWA KILA MARCH 23





BAADHI wa Wafanyakazi wa Kampuni zinazotowa huduma katika kiwanja cha Ndege cha Zanzibar wakimsikiliza Waziri wa Mawasiliano na Miundombinu Zanzibar Hamad Masoud akihutubia katika maadhimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani huadhimishwa kila Mwaka March 23.

 Ali Hamad  akitowa maelezo kwa Wanafunzi wa Skuli ya Msingi Kiswandui waliofika katika Maadhimisho ya Hali ya Hewa Duniani akiwaonesha moja ya Kifaa cha kupimia hali ya hewa uwanjani hapo.
MHANDISI wa Hali ya Hewa Khamis Salim akitowa maelezo kwa Wanafunzi wa Skuli ya Msingi ya Kisiwandui walipofika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Zanzibar kuhudhuria maashimisho ya Siku ya Hali ya Hewa Duniani huadhimishwa kila Mwaka March 23.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.