MUWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya habari vilioko zanzibar kuhusu kuwasilisha hoja yake binafsi anayokusudia kuiwakilisha katika mkutano wa baraza unaoendelea, kuhusu utaratibu wa uandaaji wa Katiba Mpya ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. mkutano uliofanyika Afisi za CUF Vuga. Kulia ni Salum Bimani.
TEITI YAWEKA WAZI RIPOTI YA 15 YA MWAKA WA FEDHA 2022/2023
-
TANZANIA ikiwa ni nchi mwanachama wa EITI imeendelea kutekeleza Matakwa ya
Kimataifa ya EITI ambapo kila mwaka nchi mwanachama wa Asasi ya EITI
inatak...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment