Habari za Punde

KUTOKA MJENGONI CHUKWANI

 MAKAMU wa Pili Rais wa Zanzibar,  Balozi Seif Ali Idd  akimsikiliza Muwakilishi wa Jimbo la  Mkwajuni Mbarouk  Wadi Mussa  (Mtando) akisisitiza jambo wakati wa mapumziko ya kikao cha asubuhi  wakiwa  nje ya ukumbi wa Mkutano,(Picha Othman Maulid)
MAWAZIRI wa SMZ. Kulia ni Waziri wa nchi Afisi ya Rais Fedha, Uchumi na Mipango Omar Yussuf Mzee, Kushoto Waziri wa Afya Juma Duni wakiangalia simu zao kama kuna ujumbe wowote. Inaonekana kuna sheria kali ya kuzima simu wakiwemo kwenye baraza. 

 MAAFISA wa Zantel walikuwepo mjengoni nao kutoa huduma kwa Waheshimiwa kama wanavyoonekana kutoka kulia Asha Bakari Makame (kuteuliwa), Mbarouk Mtando (Mkwajuni) na Nassor  Salim  Ali Al jazeera (Rahaleo)
MSAJILI wa vyama vya Siasa John Tendwa akisalimiana na Waziri wa Nchi afisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Ferej wakati wa mapumziko kikao cha Baraza.

Picha nyengine na Hamad Hija, Maelezo

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.