Habari za Punde

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF AWASILI ZANZIBAR AKITOKEA ZIARANI NJE YA NCHI.

MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Shariff akisalimiana na Wananchi waliofika kumlaki Uwanja wa Ndege alipowasili.
MAKAMU wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff  akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza na Waandishi  ukumbi wa VIP Zanzibar.
 
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakimsikiliza Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Shariff Hamad akizunguma katika ukumbi wa wa VIP uwabnja wa ndege wa Zanzibar alipowasili. 
MUANDISHI wa Habari wa Chanal Ten Munir Zakaria akiuliza swali Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim Seif, kuhusu ziara yake nchi mbalimbali alizotembelea alipowasili Zanzibar jana .  
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar  Maalim Seif Shariff Hamad akizungumza na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vilivyopo Zanzibar baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume akitokea ziarani Nje ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.