KUTOKA kulia Makamu wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho, Waziri wa Afya Juma Duni, Waziri wa Uvuvi na Maliasili Said Mbarouk, Ali Mzee na Mzee Hassan Nassor Moyo, wakisoma hitma. .
WANANCHI wakisoma hitma ya kumbukumbu ya Marehemu Mzee Karume.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Ali Mohamed Shein akiweka shada la maua
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua katika kaburi la Marehemu Mzee Karume,
KIONGOZI wa Mabalozi Wadogo Zanzibar Balozi wa Msumbiji Balozi Constantino akiweka shada la maua kwa niaba ya Mabalozi Wadogo walioko Zanzibar.
BALOZI Ali Karume akiweka shada la maua katika kaburi la Baba yake Mzee Abeid Amani Karume akiongozana na watoto wa Rais Mstaaf wa awamu ya Sita Dk. Amani Abeid Karume, kulia Abeid Karume na Ahmed Karume.
KUTOKA kushoto Mama Fatma Karume, Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Balozi, Mama Pili Balozi, Mke wa Rais wa Tanzania Mama Salma Kikwetena Muasisi wa UWT Bi, Asha Simba.
KATIBU wa Ofisi ya Mufti wa Zanzibar Sheikh, Fadhil Soraga akitowa duwa kwa Wananchi waliohudhuria Hitma ya Kumbukumbu ya Marehemu Mzee Karume Afisi ya CCM kiswandui.
SHEKH Muu wa Mkoa wa Dar- es -Salaam Alhaj Mussa Haji Salim akisoma duwa katika kaburi la marehemu Mzee Karume baada ya kumaliza hitma ya kumuombea.
KUTOKA kushoto Rais wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho, Balozi Ali Karume, Kiongozi wa Mabalozi Wadogo Zanzibar Balozi wa Msumbiji Balozi Constantino na Naibu Katibu Muu wa CCM Zanzibar Saleh Ramadhani Ferouz. Wakisoma duwa.
ASKOFU wa Kanisa Katoliki Zanzibar Augustino Shayo akimuombea Marehemu Mzee Abeid Amani Karume , Rais wa Kwanza wa Zanzibar.
WANANCHI wakiwa nje ya Jengo la Afisi Kuu ya CCM wakishuhudia uombaji wa Duwa katika kaburi. la Marehemu Mzee Karume baada ya kusomwa hitma.
RAIS wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akimsalimia Mama Fatma Karume baada ya kumalizika duwa ya kumuombea Marehemu Mzee Abeid Karume Rais wa Kwanza wa Zanzibar
MAMA Fatma Karume akisalimiana na Mkuu wa Majeshi ya Tanzania Mwamunyange katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM .
MAKAMU wa Pli wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mkuu wa Majeshi Tanzania baada ya kumalizika kwa Hitma ya Kumbukumbu ya Mzee Karume iliofanyika Afisi Kuu ya CCM.
BALOZI Mdogo wa India na Msumbiji wakibadilishana mawazo baada ya kumalizika kwa Duwa ya kumbukumbu ya Muasisisi wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume, iliofanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kiswandui.
No comments:
Post a Comment