Habari za Punde

MKE WA MAKAMU WA KWANZA MAMA AWENA ATOWA VIFAA KIVUNGE


MKE wa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mama Awena Seif Shariff (kushoto)akimkabidhi Naibu Waziri wa Afya Dk. Sira Ubwa Mamboya msaada wa Vifaa vya Hospitali kwa ajili ya Hospitali ya Kivunge Mkoa wa Kaskazini Unguja, Vifaa hivyo vimetolewa na Umoja wa Kinamama wa CUF.(Picha na AMKR)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.