Habari za Punde

AJALI YA UMEME YAUWA WAWILI KWAHAJITUMBO.

 ASKARI Polisi akisaidiana na Wanainchu kuchukuwa mwili wa mmoja wa Marehemu  Asha na Mahmeil  waliokufa kwa ajali ya kunasa na Umeme  katika mtaa wa Kwahajitumbo wakijaribu kurekebisha antena ya TV na mauti yakawakuta. Mungu awalaze mahali pema peponi Amin. 

WANANCHI wa Mtaa wa Kwahajitumbo wakiwa na nyuso za huzuni  wakishuhudia miili ya marehemu Asha na Mahmeil ikitolewa katika nyumba yao na kupelekwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmmoja kwa uchunguzi zaidi.
 Marehemu Mungu awalaze mahala pema peponi Amin.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.