RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wa Serikali alipowasili kwenye Mkutano a majumuisho ya ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi leo
Viongozi wakuu na watendaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza na watendaji hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi,katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbweni
Baadhi ya Masheha na Maafisa mbali mbali wa MKoa wa Mjini Magharibi wakimsikiliz Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,alipokuwa akizungumza na Viongozi wa Serikali na watendaji wakati wa mkutano wa majumuisho ya Ziara kwa Mkoa huo,katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbweni.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dr Mwinyihaji Makame,alipokuwa akimkaribisha Rais wa Zanzibar Kuzungumza na Viongozi wa Serikali na watendaji wakati wa mkutano wa majumuisho ya Ziara kwa Mkoa wa Mjini Magharibi,katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbweni
Viongozi wakuu na watendaji wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein,alipozungumza na watendaji hao katika mkutano wa majumuisho ya ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi,katika ukumbi wa mikutano Chuo cha Sayansi na Teknolojia Mbweni
Picha na Ramadhan Othman , Ikulu
No comments:
Post a Comment