Habari za Punde

LIGI DARAJA LA PILI TAIFA, SUNGUSUNGU VS KVZ. MAO.

 BEKI wa timu ya KVZ Emilian William akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa timu ya Sungusungu ya Jambiani katika mchezo wa ligi daraja la Pili Taifa uliofanyika uwanja wa Mao timu hizo zimetoka sare ya 1-1
BEKI wa timu ya KVZ Abdullkadir Mohammed akimkata kwanja mchezaji wa timu ya Sungusungu Abdulikadir Mwaki    
 MSHAMBULIAJI wa timu ya Sungusungu Issa Haji akijaribu kumpita beki wa timu ya KVZ Abdulkadir Mohammed, katika mchezo wa ligi daraja la Pili Taifa uliofanyika uwanja wa Mao timu hizo zimetoka sare 1- 1  
 WACHEZAJI wa timu ya Sungusungu na KVZ  wakiwania mpira  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.